Sheikh Suleiman Abdul, ambaye alihutubia waumini kuhusu mafundisho na thamani za kudumu za mapambano ya Imam Hussein (a.s).
17 Agosti 2025 - 22:12
News ID: 1717744
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Leo hii, Maadhimisho ya Arubaini ya Mashahidi wa Karbala pamoja na kumkumbuka Imam, Aba Abdillāh al-Ḥusayn (a.s) yamefanyika katika Hosseiniyyah ya Khoja, Moshi Mjini.
Mzungumzaji katika Majlisi hiyo alikuwa ni Sheikh Suleiman Abdul, ambaye alihutubia waumini kuhusu mafundisho na thamani za kudumu za mapambano ya Imam Hussein (a.s).
Your Comment